• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 28, 2013

  AMIR KHAN ASHINDA KWA POINTI, LAKINI ALIKAA RAUNDI YA NNE


  BONDIA Muingereza Amir Khan amedhihirisha kwamba 'yeye mzima' baada ya kumudu kushinda kwa pointi pambano ambalo alidondoshwa chini katika raundi ya nne dhidi ya Julio Diaz wa Mexico jana usiku.
  Mpiganaji huyo mwenye umri wa miaka 26, alikuwa akipigana pambano la pili chini ya kocha mpya, Virgil Hunter akijaribu kurejesha hadhi yake kwenye ndondi baada ya kupigwa mfululizo na Lamont Peterson na Danny Garcia.
  Khan, mshindi wa Medali ya Fedha katika Olimpiki ya mwaka 2004 mjini Athens, Ugiriki ushindi wake umetokana na mafundisho ya mazuri ya kocha wake mpya, Hunter huko San Francisco.
  Amir Khan
  Amir Khan akishangilia ushindi wake
  In action: Amir Khan shapes up to punch Julio Diaz on the way to victory
  Mawindo: Amir Khan akijiandaa kutupa konde
  Revival: Diaz knocked Khan down in the fourth round, but the Brit got straight back up to win
  Chini: Diaz akiwa amemuangusha Khan raundi ya nne, lakini Muingereza huyo aliinuka na kuendelea na pambano hadi kushinda. Chini anahesabiwa.
  Khan
  Hit: Khan swings for Mexican boxer Diaz
  Ua...: Khan akijiandaa kumchapa Diaz
  Stand up: Khan was ocassionally caught off-guard by Diaz's big punches
  Mpambano ulikuwa mkali...
  Strike a pose: Khan and Diaz in action on the way to the Brit's unanimous points victory
  Kitu cha uhakika: Khan akipiga ngumi ya kutokea chini
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: AMIR KHAN ASHINDA KWA POINTI, LAKINI ALIKAA RAUNDI YA NNE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top