• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 24, 2013

  YANGA SC WATOA CHETI CHA HESHIMA KWA AJILI YA MAREHEMU KILAMBO

  Katibu wa Yanga SC, Lawrence Mwalusako kulia akimkabidhi cheti cha heshima ya kutambua mchango wa beki wa zamani wa klabu hiyo, marehemu Kilambo Athumani aliyefariki dunia Machi 10, mwaka huu Dar es Salaam kwa mwanawe, Ramadhani Kilambo kushoto. Katikati anayeshuhudia ni Ofisa Habari wa Yanga SC, Baraka Kizuguto. Ramadhani Kilambo pia alifuata nyayo za baba yake Yanga SC, akicheza nafasi ya ulinzi wa kati.
  Waandishi wa Habari, Patrick Nyembela na Alex Luambano walikuwepo kushuhudia


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments
  Item Reviewed: YANGA SC WATOA CHETI CHA HESHIMA KWA AJILI YA MAREHEMU KILAMBO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top