Falcao wa Atletico Madrid akishangilia baada ya kufunga
katika mechi ya Nusu Fainali ya kwanza ya Europa League dhidi ya Valencia, zote
za Hispania usiku huu kwenye Uwanja wa Vicente Calderon, Madrid. Atletico
imeshinda 4-2, mabao yake yakifungwa na Falcao mawili dakika ya 18 na 78, Miranda
dakika ya 49 na Adrian dakika ya 54, wakati ya Valencia yalifungwa na Jonas
dakika ya 45 na Ricardo Costa dakika ya 90.
0 comments:
Post a Comment