Majaji wa shindano la kusaka wasanii watatu wenye vipaji watakaopanda jukwaani Jumamosi Aprili 28, mwaka huu mjini Dodoma pamoja na washindi wa Kili Music Awards Profesa Jay, Henry Mdimu, Juma Nature na Queen Darleen wakiwa kazini hapo jana. Mpambano utaendelea leo ambapo washindi watapatikana na tutawatangazia hapa.
0 comments:
Post a Comment