• HABARI MPYA

  Monday, April 30, 2012

  ARSENAL YASAJILI BONGE LA STRIKER


  BREAKING NEWS: Arsenal yamsajili Podolski

  The Gunners wamekuwa wakihusishwa na mpango wa kumsajili mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Ujerumani kwa muda mrefu na klabu yake sasa imethibitisha atahamia Ligi Kuu ya England mwishoni mwa msimu.

  Lukas Podolski, 1. FC Köln
  Bongarts
  MSHAMBULIAJI wa KolnLukas Podolski atajiunga na Arsenal msimu ujao kwa uhamisho ambao haukuwekwa wazi, klabu hiyo ya Ujerumani imesema katika taarifa iliyotufikia bongostaz.blogspot,.com.
  Kwa muda mrefu, mshambuliaji huyo amekuwa akihusishwa na mpango wa kutua The Gunners  huku kocha Arsene Wenger akielezea wazi wazi uchu wake kwa mpachika mabao huyo wa zamani wa Bayern Munich. TAARIFA ZAIDI INAKUJA.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YASAJILI BONGE LA STRIKER Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top