• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 30, 2012

  DIAMOND PLATINUM ACHANA NAYE


  Monday, April 30, 2012

  DIAMOND AFANYA MAMBO MAKUBWA DAR LIVE


   Mwanamuziki Diamond akijiandaa kwenda kupanda helikopta tayari kwa kuelekea katika ukumbi wa Dar Live kufanya onyesho la kukata na shoka lililofanyika jana jumapili huku akishtua umati wa watu aliojitokeza ktika onyesho hilo lililofurika mashabiuki wa wake
   Mawanamuziki Diamond akiwa kwenye helikopta tayari kuelekea Dar Live.
   Hapa akionyesha ishara ya kuwasalimia mashabiki wake kwa heshima.
   Akiuangalia umati mkubwa uliojitokeza kwenye ukumbi wa Dar Live ili kushuhudia wakati akishuka na helikopta.
   Wacheza shoo wake wakifanya vitu vyao jukwaani.
  wasanii wa Pah One, Watanzania wenye maskani yao Afrika Kusini wakifanya vitu vyao
  .....Timbulo akifanya vitu na dancers wake
  ...katika shoo zote za Dar Live, Diamond amevunja rekodi ya idadi ya mashabiki
  ...Diamond akifanya vitu vyake, akiwa amevalia staili ya US Marine.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DIAMOND PLATINUM ACHANA NAYE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top