Arsenal imejiongezea matumaini ya kumaliza katika nafasi ya tatu katika Ligi Kuu ya England, licha ya kulazimishwa sare ya kufungana 1-1 na Stoke.
The Gunners walinyimwa ushindi na Peter Crouch aliyefunga bao dakika ya tisa akiunganisha kwa kichwa krosi ya Matthew Etherington.
Wageni walisawazisha haraka tu kupitia kwa Robin van Persie aliyeunganisha pasi ya Tomas Rosicky.
Arsenal imejiimarisha nafasi ya tatu ikifikisha pointi 66, baada ya kucheza mechi 36.
Katika mchezo mwingine Nikica Jelavic alifunga mabao mawili wakati Everton ikikaribia kumaliza juu ya Liverpool baada ya kuifunga Fulham 4-0 kwenye Uwanja wa Goodison Park.
mshambuliaji huyo wa Croatia alifunga mawili kabla ya mapumziko, huku Marouane Fellaini akifunga lingine  na Tim Cahill akifunga la nne.
Ushindi huo unaipeleka Everton nafasi ya saba, wakiwazidi wapinzani wao wa Merseyside pointi tano.


VIKOSI, KADI (3) & WALIOINGIA (6)

Stoke City

  • 01 Begovic
  • 04 Huth
  • 17 Shawcross
  • 30 Shotton (Upson - 55' )
  • 06 Whelan
  • 12 Wilson
  • 16 Pennant (Jerome - 78' )
  • 18 Whitehead Booked
  • 26 Etherington (Delap - 84' )
  • 19 Walters
  • 25 Crouch

BENCHI

  • 29 Sorensen
  • 20 Upson
  • 24 Delap
  • 40 Palacios
  • 09 Jones
  • 10 Fuller
  • 33 Jerome

Arsenal

  • 13 Szczesny
  • 03 Sagna
  • 05 Vermaelen
  • 06 Koscielny
  • 28 Gibbs
  • 07 Rosicky
  • 16 Ramsey (Diaby - 73' )
  • 17 Song Booked
  • 30 Benayoun Booked (Santos - 83' )
  • 10 Van Persie
  • 27 Gervinho (Chamakh - 78' )

BENCHI

  • 21 Fabianski
  • 11 Santos
  • 18 Squillaci
  • 02 Diaby
  • 15 Oxlade-Chamberlain
  • 39 Coquelin
  • 29 Chamakh
Ref: Foy
Att: 27,502

TAKWIMU ZA MECHI

Possession57%43%95minsStoke CityArsenal

Shots

617

On target

410

Corners

26