• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 25, 2012

  REAL MADRID NA BAYERN MUNICH KATIKA PICHA

  Cristiano Ronaldo (katikati) akishangilia na wachezaji wenzake, Marcelo (kulia) na Mesut Ozil (kushoto) baada ya kufunga bao lake la pili katika nusu ya pili ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku huu dhidi ya Bayern Munich Uwanja wa Santiago Bernabeu.
  Arjen Robben (kulia) akishangilia na Bastian Schweinsteiger baada ya kuifungia bao muhimu Bayern
   Cristiano Ronaldo (kushoto) akishangilia na Marcelo.
  Bayern baada ya kupata bao
  Ronaldo katika mishemishe
  Arjen Robben (kushoto) akizungumza na Alvaro Arbeloa .

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REAL MADRID NA BAYERN MUNICH KATIKA PICHA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top