• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 28, 2012

  BIN ZUBEIRY NA MA LEGEND WA BOXING

  Kushoto ni bingwa wa zamani wa uzito wa juu Afrika, Willy Isangura katikati promota maarufu Philemon Kyando 'Don King' na kushoto ni BIN ZUBEIRY katika pambano la Cheka na Maugo mida hii ukumbi wa PTA. bado mapambano mawili tu kabla ya wababe hao kupanda ulingoni.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BIN ZUBEIRY NA MA LEGEND WA BOXING Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top