• HABARI MPYA

    Sunday, April 29, 2012

    ROY HODGSON KOCHA MPYA ENGLAND


    Roy Hodgson, West Bromwich Albion (Getty Images)
    KOCHA wa West BromRoy Hodgson amepewa ruhusa na klabu yake kufanya mazungumzo na Chama cha Soka England, FA kuhusu kuchukua nafasi ya ukocha wa timu ya taifa ya England iliyo wazi.
    Mwenyekiti wa FA, David Bernstein amesema katika taarifa yake kwenye tovuti ya bodi hiyo ya soka, kwamba mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 64 ndiye pekee ambaye hadi sasa ameombwa kufanya kazi hiyo.
    Hodgson kwa sasa anapiga mzigo Hawthorns na anaelekea kusaini mkataba mwishoni mwa msimu.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROY HODGSON KOCHA MPYA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top