KLABU ya Tottenham imerejea nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England, baada ya kuibwaga mabao 2-0 Blackburn usiku huu na kuzidi kuichimbia kaburi.
Rafael van der Vaart aliifungia bao la kwanza Spurs dakika ya 22 kwa shuti kali baada ya kuuwahi mpira uliopigwa kichwa na Gareth Bale na kugonga mwamba na kurudi uwanjani.
Use accessible player and disable flyout menus
Redknapp
Kyle Walker alifunga bao la pili kwa shuti la umbali wa mita 25 dakika ya 75.
Baada ya kushinda mechi moja katika mechi tisa, Tottenham walijua walijua wanahitaji kushinda baada ya kupitwa na Chelsea walioifunga  QPR na timu hiyo ya White Hart Lane imefanya ilichohitajiwa na kuzipikuThe Blues na Newcastle kwa kurejea nafasi ya nne.
Spurs sasa watatumaini kuendeleza wimbi la ushindi ili kumaliza katika nafasi ya tatu, wakijua fika, nafasi ya nne haitakuwa nzuri kiasi cha kutosha kuwawezesha kucheza Ligi ya Mabingwa, kama Chelsea itatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Mei 19, mwaka huu mjini Munich.
MSIMAMO LIGI KUU ENGLAND BAADA YA MECHI ZA LEO:
PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
No Movement1Man Utd355483
No Movement2Man City356080
No Movement3Arsenal362466
No Movement4Tottenham352062
No Movement5Newcastle35762
No Movement6Chelsea352361
No Movement7Everton35851
No Movement8Liverpool35649
No Movement9Fulham35-346
No Movement10West Brom36-646
No Movement11Sunderland36145
No Movement12Swansea36-644
No Movement13Norwich36-1643
No Movement14Stoke35-1643
No Movement15Aston Villa36-1437
No Movement16Wigan36-2237
No Movement17QPR36-2334
No Movement18Bolton35-2834
No Movement19Blackburn36-2831
No Movement20Wolves36-4124