• HABARI MPYA

  Saturday, April 28, 2012

  KING MATUMLA ALIPOKUTANA NA SUPER HEAVY WEIGHT KING WA AFRIKA

  Mabondia wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania, Meja Mstaafu, Willy Isangura kushoto aliyekuwa bingwa wa uzito wa juu Tanzania na Afrika akiwa na Rashid Matumla kulia kwenye ukumbi wa PTA midaa hii tayari kushuhudia pambano la ngumi za kulipwa kati ya Francis Cheka na Mada Maugo. bongostaz.blogspot.com ipo hapa live kukuletea yatakayojiri kwenye pambano hilo. Hivi sasa tayari watu ni wengi ukumbini na bado wanaingia.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KING MATUMLA ALIPOKUTANA NA SUPER HEAVY WEIGHT KING WA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top