• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 30, 2012

  HAPPY BIRTHDAY MPENDWA MWANANGU

  Binti yangu, Princess Asia, leo ametimiza miaka mitano ya kuzaliwa. Namshukuru Mungu kwa baraka zake hata amemfanya hivi alivyo leo. Namtakia makuzi mema. Hakuna lisilowezekana mbele ya Mungu. Naamini, Cecha atatimiza ndoto zake za kuwa Mwanasheria na Mtetezi wa haki za wanawake. Mungu amsaidie. Picha ya juu ni mdogo wake Prince Akbar akikata keki.
   

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: HAPPY BIRTHDAY MPENDWA MWANANGU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top