• HABARI MPYA

    Sunday, July 07, 2019

    GODWIN ASWILE MULIMBA ‘SCANIA’ ENZI ZAKE AKICHEZEA YANGA SC

    BEKI wa Yanga SC, Godwin Aswile Mulimba ‘Scania’ (kushoto) akiingiza mguu kuondosha mpira kwenye himaya ya mchezaji wa Kurugenzi Dodoma katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza (sasa Ligi Kuu) Tanzania Bara mwaka 1988 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GODWIN ASWILE MULIMBA ‘SCANIA’ ENZI ZAKE AKICHEZEA YANGA SC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top