• HABARI MPYA

  Sunday, February 03, 2019

  MESSI AISAWAZISHIA BARCA IKILAZIMISHWA SARE YA 2-2 CAMP NOU

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawazisha dakika ya 64 katika sare ya 2-2 na Valencia usiku huu kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Messi pia alifunga bao la kwanza la Barcelona kwa penalti dakika ya 39, kabla ya Valencia kusawazisha kupitia kwa Kevin Gameiro dakika ya 24 na kufunga la pili kupitia kwa Dani Parejo kwa penalti dakika ya 32 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MESSI AISAWAZISHIA BARCA IKILAZIMISHWA SARE YA 2-2 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top