• HABARI MPYA

  Monday, February 11, 2019

  BARCA WANG'ANG'ANIWA BILBAO, SASA WAIZIDI REAL POINTI SITA TU

  Lionel Messi akisikitika baada ya Barcelona kulazimishwa sare ya 0-0 na wenyeji, Athletic Bilbao usiku wa jana Uwanja wa San Mames Barria mjini Bilbao kwenye mchezo wa La Liga. Pamoja na sare hiyo, Barcelona inafikisha pointi 51 katika mechi ya 23 na kuendelea kuongoza La Liga kwa pointi sita zaidi ya Real Madrid wanaofuatia katika nafasi ya pili mbele ya Atletico Madrid wenye pointi 44 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCA WANG'ANG'ANIWA BILBAO, SASA WAIZIDI REAL POINTI SITA TU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top