• HABARI MPYA

    Friday, August 03, 2018

    JESUS ASAINI MKATABA MPYA MAN CITY NA MSHAHARA WAPANDA

    Mshambuliaji Mbrazil, Gabriel Jesus akisaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuichezea Manchester City hadi mwaka 2023 ambao unamfanya sasa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 awe analipwa Pauni 100,000 kutoka 70,000 kwa wiki alizokuwa analipwa katika mkataba wake wa awali aliosaini Januari 1, mwaka jana 2017. Jesus amefunga mabao 24 tangu ajiunge na Man City akiiwezesha pia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: JESUS ASAINI MKATABA MPYA MAN CITY NA MSHAHARA WAPANDA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top