• HABARI MPYA

  Sunday, May 15, 2016

  PELLEGRINI AAAGA MAN CITY IKITOA SARE YA 1-1 KUMPISHA GUARDIOLA

  Kocha Manuel Pellegrini wa Manchester City, akiwapungia mkono kuwaaga mashabiki wa timu hiyo baada ya kuiongioza kwa mara ya mwisho ikitoa sare ya 1-1 na Swansea City Uwanja wa Liberty. Bao la City limefungwa na Kelechi Iheanacho wa Nigeria wakati la Swansea limefungwa na Andre Ayew wa Ghana. 
  Pellegrini anaondoka Manchester City na nafasi yake inachukuliwa na Pep Guardiola PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PELLEGRINI AAAGA MAN CITY IKITOA SARE YA 1-1 KUMPISHA GUARDIOLA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top