• HABARI MPYA

  Sunday, February 07, 2016

  BARCELONA HAIKAMATIKI HISPANIA, YAITANDIKA 2-0 LEVANTE LA LIGA

  Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) akimpongeza mchezaji mwenzake, Luis Suarez baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Levante kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Ciudad de Valencia. Bao lingine la Barca David Navarro wa Levante alijifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA HAIKAMATIKI HISPANIA, YAITANDIKA 2-0 LEVANTE LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top