• HABARI MPYA

    Sunday, February 07, 2016

    BARCELONA HAIKAMATIKI HISPANIA, YAITANDIKA 2-0 LEVANTE LA LIGA

    Mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi (kushoto) akimpongeza mchezaji mwenzake, Luis Suarez baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Levante kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Ciudad de Valencia. Bao lingine la Barca David Navarro wa Levante alijifunga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA HAIKAMATIKI HISPANIA, YAITANDIKA 2-0 LEVANTE LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top