• HABARI MPYA

  Wednesday, June 01, 2022

  RAIS SAMIA ALIPOPOKEA KOMBE LA DUNIA 2022


  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Dunia la FIFA jana Jijini Dar es Salaam kuelekea Fainali za baadaye mwaka huu nchini Qatar.


  Mama Samia anakuwa Rais wa pili wa Tanzania kupokea Kombe la Dunia baada ya Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Novemba 29, 2013 Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kuelekea Fainali za mwaka 2014 nchini Brazil, ambako huko Ujerumani iliibuka bingwa kwa kuichapa Argentina 1-0  ndani ya dakika 120 bao la Mario Götze dakika ya  113 Uwanja wa Maracanã, Rio de Janeiro.  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAIS SAMIA ALIPOPOKEA KOMBE LA DUNIA 2022 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top