Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akiifungia timu yake mpya, Juventus bao la kwanza leo dakika ya nane katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu yao ya vijana chini ya umri wa miaka 19 kabla ya kusababisha bao la kujifunga kwa wadogo zao hao katika ushindi wa 5-0. Mabao mengine yalifungwa na Paulo Dybala mawili na Claudio Marchisio. Mreno huyo mwenye umri wa miaka 33 alikuwa anaichezea kwa mara ya kwanza timu hiyo iliyomnunua kutoka Real Madrid kwa dau la Pauni Milioni 100 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Inside Marseille's crisis after Roberto De Zerbi: How Mason Greenwood's
'nonchalant attitude has irritated coaching staff', why he could leave the
club this summer - and the 'unrecognisable' former Spurs star who typifies
their dismal form
-
Marseille and chaos fit like hand in glove and this season has been a
typically bumpy ride for fans of the French club. Even a team bonding trip
to Marbell...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment