Mshambuliaji Raheem Sterling akifumua shuti dhidi ya wachezaji wa Arsenal, Matteo Guendouzi na Hector Bellerin kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 14 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji leo Uwanja wa Emirates, London. Bao la pili limefungwa na Bernardo Silva dakika ya 64 na wote kwa pasi za Benjamin Mendy kocha mpya, Mspaniola Unai Emery akianza vibaya msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu baada ya kuchukua nafasi ya Mfaransa, Arsene Wenger PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Big names on and off the pitch - what is European T20 Premier League?
-
The Belfast Wolves and Dublin Guardians will play their first game of the
European T20 Premier League in Voorburg on Thursday.
7 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment