TIMU ya Mashujaa FC imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Black Stars katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jioni ya leo Uwanjawa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Mabao yote leo yalipatikana kwa mikwaju ya penalti, mshambuliaji Mkenya, Elvis Baranga Rupia akianza kuifungia Singida Black Stars dakika ya 14, kabla ya kiungo Mgandila Shabani Hassan Mavumbise kuisawazishia Mashujaa FC dakika ya 73.
Kwa matokeo hayo, Mashujaa FC inafikisha pointi 21, ingawa inabaki nafasi ya 11 na Singida Black Stars ⭐️ inafikisha inafikisha pointi 29 nayo inabaki nafasi ya tano baada ya timu zote kucheza mechi 19.

.png)
0 comments:
Post a Comment