Wachezaji wa Barcelona wakifurahia na taji lao la Super Cup ya Hispania baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Sevilla jana Uwanja wa Grand Stade de Tanger mjini Tanger, Morocco. Mabao ya Barcelona yamefungwa na Gerard Pique 42 na Ousmane Dembele dakika ya 78, baada ya Pablo Sarabia kutangulia kuifungia Sevilla dakika ya tisa tu. Kipa wa Barca, Marc-Andre ter Stegen akaokoa penalti ya dakika ya mwisho ya Wissam Ben Yedder kuihakikishia Barca taji la kwanza la msimu katika ardhi ya Afrika PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
16 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment