Washambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa (kulia) na Mzimbabwe, Donald Ngoma (kushoto) wakionyesha miili yao ilivyojengeka kimazoezi baada ya kujifua kwenye gym. Lakini picha hii ni ya zamani, kwani kwa sasa Yanga ipo kambini kisiwani Pemba kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu, Simba Jumatano Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ambako Chirwa hayupo kwa sababu amebaki Dar es Salaam akiendelea na matibabu.
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
3 days ago



.png)
0 comments:
Post a Comment