Kiungo mpya wa Simba, Haruna Niyonzima akinywa maji wakati wa mapumziko mafupi kwenye mazoezi ya timu hiyo asubuhi ya leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu wa jadi, Yanga SC Jumatano Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Kiungo wa Simba, Mohammed 'Mo' Ibrahim akinywa maji kwenye mazoezi hayo leo
Kipa mpya wa Simba kutoka Mtibwa Sugar, Said Mohammed akiwa kamili mazoezini leo
Mavs' Kyrie Irving Gets Emotional Discussing WCF Berth: 'Been a Long Time
Coming'
-
Kyrie Irving and the Dallas Mavericks are headed to the Western Conference
Finals. The team clinched the berth following a 117-116 victory in Game 6
of the…
53 minutes ago
0 comments:
Post a Comment