• HABARI MPYA

  Sunday, August 13, 2017

  MSUVA ATOKEA BENCHI DIFAA EL JADIDA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI

  Winga Mtanzania, Simon Msuva akinyoosha mkono kuomba pasi katika mchezo wa kiafiki wa timu yake, Difaâ Hassani d'el-Jadida ikishinda 1-0 dhidi ya Mouloudia Club of Oujda katika ziara yao ya Hispania
  Simon Msuva akiwa mawindoni kwenye mchezo wa kirafiki jana
  Lakini Simon Msuva aliingia akitokea benchi katika mchezo huo 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA ATOKEA BENCHI DIFAA EL JADIDA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top