Kipa wa Chapecoense ya Brazil, Elias Martello akidaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi anayelighasiwa pia na mabeki wa timu hiyo katika mchezo wa kirafiki usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Barca ilishinda 5-0, mabao ya Gerard Deulofeu dakika ya sita, Sergio Busquets dakika ya 11, Messi dakika ya 28, Luis Suarez dakika ya 55 na Denis Suarez dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Lake to captain Wales in summer internationals
-
The Gloucester-bound hooker will captain Wales in this summer's four
internationals, stating with Saturday's game against the Barbarians at
Allianz Stadium.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment