Beki Mzimbabwe wa Azam FC, Bruce Kangwa akimfunga tela beki wa KMC ya Kinondoni katika mchezo wa kirafiki Ijumaa Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0
Kiungo Mghana, Enock Atta Agyei akiwatoka wachezaji wa KMC
Kiungo mzawa, Salum Abubakar 'Sure Boy' wa Azam FC akipambana katikati ya wachezaji wa KMC
Mshambuliaji mpya kutoka Toto Africans, Waziri Junior akimuacha chini mchezaji wa KMC
Kocha Mromania Aristica Cioaba akikata keki baada ya mechi hiyo kufurahia siku yake ya kuzaliwa
Kocha Aristica Cioaba akifurahia na wachezaji wake baada ya mchezo huo
'Arsenal left praying while Man City shine as end game nears'
-
Arsenal are left "praying" as Manchester City home in on a fourth
successive Premier League title, writes Simon Stone.
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment