• HABARI MPYA

  Saturday, August 05, 2017

  MSUVA AFUNGA MABAO MAWILI TIMU YAKE IKISHINDA 3-1 MECHI YA KIRAFIKI

  Winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva (kushoto) akipongezwa na wenzake wa Difaa Hassan El- Jadida baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 3-1 jana dhidi ya Mouloudia Club of Oujda Uwanja wa El Abdi mjini Jadida.
  Simon Msuva aliyesajiliwa Difaa Hassan El-Jadida wiki iliyopita kutoka Yanga ya Tanzania akiambaa na mpira kwenye mchezo huo
  Simon Msuva akipiga mahesabu wakati wa mchezo huo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MSUVA AFUNGA MABAO MAWILI TIMU YAKE IKISHINDA 3-1 MECHI YA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top