• HABARI MPYA

  Saturday, August 12, 2017

  ARSENAL YAANZA VYEMA LIGI KUU ENGLAND, YASHINDA 4-3

  Danny Welbeck akiwa amempanda mgongoni mshambuliaji mpya wa Arsenal, Alexandre Lacazette kutoka Lyon ya Ufaransa baada ya kuifungia The Gunners bao la kwanza dakika ya pili katika ushindi wa 4-3 kwenye mchezo wwa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England usiku wa Ijumaa Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Welbeck dakika ya 45, Aaron Ramsey dakika ya 83 na Olivier Giroud dakika ya 85 wakati ya Leicester yamefungwa na Shinji Okazaki dakika ya tano, Marc Albrighton dakika ya 29 na Jamie Vardy dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL YAANZA VYEMA LIGI KUU ENGLAND, YASHINDA 4-3 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top