Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto) akimtoka Nahodha wa Prisons, Benjamin Asukile katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Yanga ilishinda 1-0
Wachezaji wa Yanga, Obrey Chirwa (kulia) na Deus Kaseke (kushoto) wakimuacha chini mchezaji wa Prisons
Kiungo wa Yanga, Deus Kaseke (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita beki wa Prisons, Salum Kimenya
Mshambuliaji Mzambia wa Yanga, Obrey Chirwa (kushoto) akipambana na Lambert Sabiyanka wa Prisons
Haruna Niyonzima akimtoka Mohaammed Samatta jana Uwanja wa Sokoine
Mfungaji wa bao pekee la Yanga, Simon Msuva (kulia) akimtoka beki wa Prisons, James Mwasote
Wachezaji wa Prisons na Yanga wakiwania mpira wa juu
Refa akiwaondoa wachezaji wa Yanga waliomfuata kulalamikia jambo kwake
Kikosi cha Yanga jana katika mchezo uliokuwa wa vuta nikuvute
Kikosi cha Prisons katika mchezo wa jana Uwanja wa Sokoine
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment