ANNETTE NA THE UNIT WALIVYOKONGA NYOYO UZINDUZI WA THURAYA
Mwanamuziki Annette Seghito Ngongo akiimba na bendi ya The Unit Ijumaa kwenye ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Courtyard, Sea View, Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa simu za Thuraya
Annette alikonga nyoyo za waalikwa kwenye shughuli hiyo
Maelezo kuhusu simu za Thuraya ambazo zipo katika mfumo tofauti na simu za mkononi zilizozoeleka nchini
Waalikwa wakisikiliza kwa makini kuhusu simu za Thuraya
Waalikwa walijipatia elimu ya kutosha kuhusu simu za Thuraya
Maofisa wa Thuraya wakiwaelimisha waalikwa kuhusu simu za Thuraya
Waalikwa wakifuatilia kwa makini maelezo kuhusu simu za Thuraya
Baada ya elimu kuhusu simu za Thuraya, ikafuatia pati fupi ya wima na burudani ya bendi ya The Unit ikiongozwa na mwanadada Annette
0 comments:
Post a Comment