Mshambuliaji Romelu Lukaku (kushoto) akishangilia na wachezaji wenzake wa Ubelgiji ushindi wa 8-1 dhidi ya Estonia katika mchezo wa Kundi H kufuzu Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussells). Mabao ya Ubelgiji yaalifungwa na Meunier dakika ya nane, Mertens matatu dakika za 16, 64 na 68, Hazard dakika ya 25, Carrasco dakika ya 62 na Lukaku mawili dakika za 83 na 88 wakati la Estonia la kufutia machozi lilifungwa na Henri Anier dakika ya 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment