Mshambuliaji wa Urenom Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Latvia kwenye mchezo wa Kundi B kufuzu Kombe la Dunia 3018 Urusi. Pamoja na kufunga mabao mawili moja kwa penalti, Ronaldo pia alikosa penalti wakati mabao mengine ya Ureno yalifungwa na William Carvalho na Bruno Alves wakati la Latvia lilifungwa na Arturs Zjuzins PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment