Beki Michael Aidan wa Tanzania akijiandaa kumtoka mchezaji wa Zimbabwe, Danny Phiri katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0. PICHA ZOTE NA ALFRED LUCAS WA TFF
Beki wa Zimbabwe, Hadebe Teenage akiruka mbele ya mshambuliaji wa Tanzania, Elius Maguri kuwania mpira wa juu katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
Nahodha wa Tanzania, Mbwana Samatta (kushiti) akimiliki mpira katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
Mchezaji wa Zimbabwe akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Tanzania katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
Mshambuliaji wsa Taifa Stars, Elius Maguri akichuana na beki wa Zimbabwe, Hadebe Teenage katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika Uwanja wa Taifa wa Harare jana. Tanzania ilifungwa mabao 3-0.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment