Winga mwenye umri wa miaka 32 wa Bayern Munich, Arjen Robben akimtungua kipa Ralph Schon wa Luxembourg kuifungia Uholanzi bao la kwanza katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Kombe la Dunia 2018 Urusi Uwanja wa Josy Barthel mjini Luxembourg. Mabao mengine ya Uholanzi yote yalifungwa na Memphis Depay, wakati la Luxembourg lilifungwa na Maxime Chanot kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Mexico beat Czech Republic to maintain 100% winning record
-
Mexico score three second-half goals to eliminate the Czech Republic from
the World Cup and end the group phase with maximum points.
6 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment