Mshambuliaji wa Fenerbahce, Moussa Sow akibinuka tik tak katikati ya mabeki wa kati wa Manchester United, Marcos Rojo na Daley Blind kuifungia timu yake katika ushindi wa 2-1 leo kwenye mchezo wa Kundi A Europa League Uwanja wa Ulker Fenerbahçe Sukru Saracoglu Spor Kompleksi mjini İstanbul, Uturuki. Bao lingine la Fenerbahce lilifungwa na Jeremain Lens wakati la Man United lilifungwa na Nahodha, Wayne Rooney PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment