Wachezaji wa Liverpool wakishangilia ushindi wa mabao 6-1 dhidi ya Watford leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield. Mabao ya Liverpool yamefungwa na Sadio Mane dakika ya 27 na 60, Philippe Coutinho dakika ya 30, Emre Can dakika ya 43, Roberto Firmino dakika ya 57 na Georginio Wijnaldum dakika ya 91, wakati la Watford lilifungwa na Daryl Janmaat dakika ya 75 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
100 NOT OUT: Scotland skipper Andy Robertson set to become centurion in
Skopje... but feat will feel hollow without a win to celebrate
-
Over the course of the past 15 years or so, Andy Robertson's career has
demonstrated the value of commitment and hard work.
2 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment