Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil akimtoka Mousa Dembele wa Tottenham Hotspur (kushoto) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates, London. Timu hizo zimetoka sare ya 1-1 Harry Kane akiisawazishia Spurs kwa penalti dakika ya 51 baada ya after Laurent Koscielny kumchezea rafu Mousa Dembele kufuatia Kevin Wimmer kuanza kujifunga dakika ya 42 kuipatia Arsenal bao la kuongoza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wakefield beat Warrington to win Super League
-
Wakefield Trinity end a 58-year wait to be champions as they claim a
deserved Grand Final success over Warrington Wolves at Old Trafford.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment