Nahodha wa Real Madrid katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya Jumanne usiku dhidi ya Lagia Warsaw ya Poland Uwanja wa Santiago Bernabeu, Marcelo akishangilia baada ya kufunga bao la pili katika ushindi wa 5-1. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Gareth Bale, Marco Asensio, Lucas Vazquez na Alvaro Morato, wakati la wageni lilifungwa na Miroslav Radovic kwa penalti baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Danilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment