Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund katika ushindi wa 2-1 ugenini dhidi ya wenyeji, Sporting Lisbon ya Ureno katika mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao lingine la Dortmund lilifungwa na Julian Weigl wakati la wenyeji lilifungwa na Bruno Cesar PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Baleba completes £70m Man Utd move from Brighton
-
Manchester United sign Cameroon midfielder Carlos Baleba from Brighton in a
£70m deal.
4 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment