Mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski akikimbia kushangilia baada ya kuifungia bao la ushindi timu yake dakika ya 90 na ushei ikiilaza 2-1 Armenia katika mchezo wa Kundi E kufuzu Kombe la Dunia usiku wa jana Uwanja wa Narodowy, Warszawa. Hrayr Mkoyan alijifunga dakika ya 48 kuipatia Poland bao la kwanza, wakati bao la Armenia lilifungwa na Marcos Pizzelli dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Xenophobia: Senate orders fresh probe, mulls cutting ties with South Africa
-
The Senate on Tuesday threatened far-reaching diplomatic and economic
consequences against South Africa over the renewed wave of xenophobic
attacks.
The...
59 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment