Mshambuliaji Mcolombia wa Mainz ya Ujerumani, Jhon Cordoba akipiga shuti mbele ya beki wa Liverpool, Joel Matip kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 44 katika ushindi wa 4-0 Uwanja wa Opel Arena. Mabao mengine ya Mainz yalifungwa na Daniel Brosinski dakika ya 15 kwa penalti, Yunus Malli dakika ya na Yoshinori Muto dakika ya katika mchezo uliofanyika siku moja baada ya Liverpool kuifunga Barcelona 4-0 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
World Cup TV pundit wars: All the BBC and ITV's broadcast regulars RANKED -
from Ange Postecoglou and Roy Keane to Wayne Rooney and Olivier Giroud -
but who comes out on top?
-
The BBC and ITV are in stiff competition over every aspect of World Cup
coverage - but there's only one winner when it comes to the television
pundits.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment