• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 27, 2016

  SPURS WAICHOMOLEA LIVERPOOL KIPINDI CHA PILI, SARE 1-1

  Kiungo Victor Wanyama wa Tottenham akiwapandia juu wachezaji wenzake kushangilia na Danny Rose aliyeifungia timu yao bao la kusawazisha dakika ya 72 katika sare ya 1-1 na Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa White Hart Lane, London. Bao la Liverpool lilifungwa na James Milner kwa penalti bada ya Erik Lamela kuchezewa rafu Roberto Firmino PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SPURS WAICHOMOLEA LIVERPOOL KIPINDI CHA PILI, SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top