• HABARI MPYA

  Jumamosi, Agosti 27, 2016

  ARSENAL YAANZA LIGI, YAITANDIKA WATFORD 3-0 VICARAGE ROAD

  Kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la tatu ikishinda 3-0 dhidi ya wenyeji, Watford jioni ya leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road. Mabao mengine ya Arsenal yamefungwa na Santi Cazorla kwa penalti na Alexis Sanchez PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL YAANZA LIGI, YAITANDIKA WATFORD 3-0 VICARAGE ROAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top