• HABARI MPYA

  Jumapili, Agosti 28, 2016

  JICHO LA MKWASA ANAPOSAKA VIPAJI VIPYA TAIFA STARS

  Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa akifuatilia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Yanga SC na African Lyon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo. Yanga SC ilishinda 3-0
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: JICHO LA MKWASA ANAPOSAKA VIPAJI VIPYA TAIFA STARS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top