BRAZIL WANYAKUA MEDALI YA DHAHABU OLIMPIKI SOKA, WAINYOA UJERUMANI KWA MATUTA
Wachezaji wa Brazil wakiongozwa na Nahodha wao, Neymar (katikati) wakishangilia baada ya kushinda Medali za Dhahabu za Michezo ya Oilimpiki 2016 Uwanja wa Maracana mjini Rio usiku wa jana kufuatia ushindi wa penalti 5-4 baada ya sare ya 1-1. Brazil ilitangulia kwa bao na Neymar dakika ya 27, kabla ya Max Meyer kuisawazishia Ujerumani dakika ya 59. Neymar akaenda kupiga na kufunga penalti ya ushindi, baada ya mkwaju wa Nils Petersen kuokolewaPICHA ZAIDI GONGA HAPA
Marcel Schmelzer wird Co-Trainer der U23
-
Borussia Dortmunds langjähriger Fußballprofi und ehemaliger
Mannschaftskapitän Marcel Schmelzer (36) wird ab der kommenden Saison
Co-Trainer von Jan Zimmer...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment