• HABARI MPYA

  Jumatano, Agosti 31, 2016

  CUADRADO AREJEA JUVENTUS KWA MKOPO WA MIAKA MITATU

  Winga wa Chelsea, Juan Cuadrado amekamilisha uhamisho wake wa kurejea Juventus kwa mkopo wa miaka mitatu, klabu hiyo ya Italia ikilipa Pauni Milioni 4 kwa msimu na nyingine Pauni Milioni 8.4 watalipa wakimsainisha mkataba wa kudumu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CUADRADO AREJEA JUVENTUS KWA MKOPO WA MIAKA MITATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top